fbpx

Mwongozo Kamili Kuagiza na Kusafirisha Mizigo Kutoka China PDF

Original price was: Sh 25,000.Current price is: Sh 10,000.

Kwanini Unahitaji PDF Hii?

Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kuzisafirisha kuja Tanzania. Iwe wewe ni mfanyabiashara mwenye uzoefu au unaanza tu, mwongozo huu unatoa taratibu za hatua kwa hatua na vidokezo vya ndani kuhakikisha mizigo yako unaipata kwa urahisi, wakati na usalama.

Hurry! Discount Expires In
Trust Badge Image

Description

PDF hii ni rasilimali muhimu kwa yeyote anayetaka kuagiza bidhaa kutoka China kwa urahisi, uharaka na ufanisi. 

Zifuatayo ni baadhi ya sehemu zilizoelezewa kwa kina katika PDF hii

Ofa Maalum:

Ukinunua PDF hii, upata simu ya ushauri bure na mwandishi kwa maswali yako yote. Pata ushauri wa kibinafsi unaolingana na mahitaji yako maalum.

Maoni ya Wasomaji Wetu:

“PDF hii imebadilisha biashara yangu ya uagizaji! Mwongozo wa kina na vidokezo vya ndani vimenisaidia kuokoa muda na pesa.” – Mushi S.

“Somo muhimu sana kwa yeyote anayetaka kuagiza kutoka China. Wazi, sahihi, na ya kuelimisha sana.” – Mary A.

Jipatie PDF hii kwa bei ya offa ya sh 10,000/= Badala Ya 25,000/=

Malipo Salama | Lipa Na Pakua | Msaada Wa Simu

Baadhi Ya maoni Ya wasomaji Wa PDF Yetu

Nashukuru kwa mwongozo huu, nimeweza agiza ndani ya siku mbili tu baada ya kusoma kitabu chenu. asante sana

Shamsa P.

Nilikuwa natumia pesa nyingi sana kutumiwa maagent waniagizie bidhaa China, lakini kwenye somo hili nimepata address za makampuni. hivyo ni kuchagua tu! Big up sana aisee

Jacob G.

Asante sana Tanzanite Digital nimejifunza sana masomo yenu kutoka youtube, hii ni PDF yangu ya tatu nanunua kutoka kwenye website yenu.

Mwita M.

Baada ya kununua tu hiki kitabu nilipokea kwenye email yangu, nilisoma nikakwama sehemu. niliwapigia simu hawa jamaa. nilipata msaada kwa uharaka sana. Asanteni sana!

Kassim M.

Mmenifungua sana nimepata fursa sasa ya elimu, naahidi nitaitumia hii karibuni.

Jackline K.

Youtube video yenu ilinileta huku, nikaona ngoja ninunue nione madini yaliyomo, kiukweli mko vizuri. zaidi ya makampuni kumi mmeorodhesha na namba zao. Mmetisha sana.

Zakaria H.

Thank you so much, the pdf is very imformative and the after sale support is amazing. Thank you so much

Sarah S.

You may also like…

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping
Open chat
💬 Need help?
Scan the code
Hello
Can we help you?