Kuwa Mtaalamu Wa Matangazo Ya Facebook Ndani ya siku 7 Tu!
Tumesaidia wafanyabiashara 1500+ kuongeza mauzo kupitia Facebook & Instagram Ads. Sasa ni zamu yako: Book consultation nasi leo na uanze kuona matokeo!


Utakachojifunza
-
Jinsi ya Kuunda Tangazo Lenye Matokeo Bila Kupoteza Pesa
Utajifunza jinsi ya kuunda matangazo yanayovutia na kuwalenga wateja sahihi, bila kupoteza bajeti yako kwa klik zisizo na maana.
-
Makosa 3 Makubwa Yanayofanya Matangazo Yako Yashindwe
Wengi wanapoteza pesa kwa sababu ya makosa madogo. Utajifunza jinsi ya kuepuka makosa haya na kufanya matangazo yako yawe na ufanisi zaidi.
-
Jinsi ya Kupata Wateja Wanaonunua Kila Wakati
Si kila mtu anayebonyeza tangazo lako atanunua. Utapata mbinu za kulenga watu sahihi na kuwabadilisha kuwa wateja wa kudumu.
-
Njia ya Kupunguza Gharama za Matangazo na Kuongeza Faida
Utajifunza jinsi ya kuendesha matangazo yenye gharama nafuu lakini yanayotoa matokeo bora, bila kupoteza pesa kwenye trafiki isiyo na faida.
-
Mifano Halisi ya Kampeni Zilizofanikiwa
Utapata mifano ya matangazo yaliyoleta mafanikio ili ujifunze mbinu bora ambazo unaweza kuiga na kutumia mara moja kwenye biashara yako.
Vifurushi vya Mafunzo ya Meta Ads
Chagua kifurushi kinachokufaa
Online Training
Via WhatsApp/Teamviewer/Zoom
49,000 TZS ($19.99)
- ✔ 1 to 3 Hours Training
- ✔ Free 15 Minutes Account Audit
- ✔ 1 Day Training, 6 Days Assistance
- ✔ Full Meta Ads Training & Setup
- ✔ Free Access To our Paid Ebooks
- ✔ Access to V.I.P group chat
One-on-One Training
Dar es Salaam Only
99,000 TZS ($39.99)
- ✔ 2 to 4 Hours Training
- ✔ Free 15 Minutes Account Audit
- ✔ 1 Day Training, 6 Days Assistance
- ✔ Full Meta Ads Training & Setup
- ✔ Free Access To our Paid Ebooks
- ✔ Access to V.I.P group chat
Group/Company Training
Online/Offline
Price To Be Discussed
- ✔ Free 15 Minutes Account Audit
- ✔ 2 to 4 Hours Training
- ✔ 2 Days Training, 9 Days Assistance
- ✔ Full Meta Ads Training & Setup
- ✔ Free Access To our Paid Ebooks
- ✔ Access to V.I.P group chat
jaza taarifa Kujisajili Kupigiwa simu!
Testimonials Kutoka Kwa Clients wetu!








General Knowledge Base
We offer flexible pricing models tailored to your project’s needs, including fixed-price and milestone-based payments.
Yes, we work with clients from around the world and are experienced in managing projects remotely.
To get started, simply contact us through our website or give us a call. We’ll discuss your project needs and provide a customized proposal.
The timeline for project completion varies based on the project’s complexity and scope. We provide estimated timelines during the proposal stage.
we offer flexible consultation methods to suit your preferences. We usually use online meeting tools like Google meet, Zoom, AnyDesk and chatting with our clients via WhatsApp or emails. Our goal is to provide you with the best possible advice and support tailored to your project needs.
Yes, we allow for changes and revisions during the project. However, significant changes may affect the timeline and cost.
We follow industry best practices, conduct thorough testing, and have a team of experienced professionals to ensure high-quality deliverables.
Absolutely! We provide ongoing support and maintenance packages to ensure your digital assets remain up-to-date and functional.